Wapi najirusha Leo??

Wapi najirusha Leo??

delako

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
3,012
Reaction score
2,050
Habari zenu wakuu! Naomba kujuzwa wapi naweza kujirusha Leo? Sikuwa dar kwa muda kidogo,Nimerud na nina hamu ya kwenda music waungwana! Music wa bend km twanga pepeta,Extra bongo,FM academia na km itashindikana kabisa japo jahazi nitakwenda. Ombi langu ni kupata ratiba ya moja kati ya hayo makundi. Nipo ubungo Please kwa anayejua!!!MSAADA WENU UNAHITAJIKA PLEASE!
 
Hiko wapi ndg na kundi gani linapiga hapo?? Au hile ya tabata km waelekea mawenzi?
 
Mbona nakosa kamsaada ndg zangu!?Atakayewahi kunipa msaada nitamlipia kiingilio if he/she is interested! If not interested then atapata airtime!
 
Hapo ubungo ulipon kila friday twanga wanatwanga kila ijumaa.. Landmark hotel
 
Habari zenu wakuu! Naomba kujuzwa wapi naweza kujirusha Leo? Sikuwa dar kwa muda kidogo,Nimerud na nina hamu ya kwenda music waungwana! Music wa bend km twanga pepeta,Extra bongo,FM academia na km itashindikana kabisa japo jahazi nitakwenda. Ombi langu ni kupata ratiba ya moja kati ya hayo makundi. Nipo ubungo Please kwa anayejua!!!MSAADA WENU UNAHITAJIKA PLEASE!

nenda msasani club..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom