Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,406
Chief hapa ametumia Riddim ya Contagious.
.bonge la riddim.
Chief hapa ametumia Riddim ya Contagious.
.bonge la riddim.
contangious?? Whats this
hiyo ni riddim mkuu. Kama wewe unajua reggae hutakiwi kushangaa-the same beat imetumika na various reggae artist mfano kuna nyimbo ya mavado inaitwa always on my minD imetumia hiyo hiyo beat. So hiyo ni ni contagious riddim (original) . Get more teaching by thy name
ok mkuu asante nimekuwa na interest na reggae baada ya kuanza kusikiliza reggae 141 (positive radio for positive people) i reckon that am novis
Hiyo ni riddim mkuu. Kama wewe unajua reggae hutakiwi kushangaa-the same beat imetumika na various reggae artist mfano kuna nyimbo ya mavado inaitwa always on my minD imetumia hiyo hiyo beat. So hiyo ni contagious riddim (original) . Get more teaching by thy name, WE KYAN B'SE OF HI BLESSING . RESPECT TO KING OF KINGS ,THE LIGHT OF DIS WORLD ,THE TRUE NAME OF HIMSELF HAILE SELASIE I
Unaweza pata more fleva kwenye No woman no cry riddim (luciano ,sanchez, sizzla ..ect ), Overproof riddim ( demarco, aidonia, beenie man, mavado ,wyne marshall..etc ) . Pia kuna riddim inayotamba kwa sasa huko Caribbean na viwanja vingine duniani -Mkuu Mwakalinga nashukuru kwa kunisaidia kulijibu hilo swali. Jerrymsigwa ni rahisi sana kufahamu nyimbo nyingi za reggae kama utakua unazijua Riddims. Kwa mfano kwa sasa mimi nimevutiwa sana na Sweet Sounds Riddim. Ila ningefurahi sana kama ningesikia Serious Woman Riddim ya Richie Spice ikiwa imefanywa na wanamuziki wengine.
Alaine ana sauti nzuri sana...Ok mkuu asante nimekuwa na interest na reggae baada ya kuanza kusikiliza Reggae 141 (positive radio for positive people) I reckon that am novis
Mkuu Mwakalinga Think Twice ndio ilikua Riddim niliyoipenda zamani. Siku hizi navutiwa sana Marcia Grifith huyu watu wengi bado hawajamkubali lakini akina Allaine wanasubiri sana kwake.