Kanjanja Time

Kanjanja Time

SaaMbovu

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Posts
6,028
Reaction score
5,357
You Made my day. Nimecheka sana leo wakati wakionyesha jamaa alivyoenda kwa mganga akitaka kuongezewa kipato halafu mganga anampa ma banzi kila akipigwa anasema niongezee kipato mganga kila akimtwanga jamaa analia huku anasema niongezee kipato. Inafurahisha sana.
 
Back
Top Bottom