Umofia Kwenu wana JF,
Leo 30.12.2013 katika kipindi cha mkasi mwanadada Salama Jabir atakuwa anafanya interview na Mch. Anthony Lusekelo aka Mzee wa upako kwa mtaokiona mtujuze mambo atakayoongea...
Kwa wasanii wa muziki, Filamu na sanaa nyingine wa Tanzania na kwa wazazi wanaotamani watoto wao wawe wasanii wana mengi ya kujifunzi kwa kuangalia hii Video ambayo ni CNN product (AFRICAN...
Jamani naomba mawazo yenu. Kijana BEKA wa THT ana sauti nzuri na nyimbo zake nzuri sana ila labda hajafahamika. Namlinganisha yeye na Diamond Platnumz kuwa katika level moja ila Diamond mzoefu...
Msaada wana JF, nahitaji download manager,inakua inanisumbua kila nikii download inaniambia file incomplete, msaada kwa mdau anaejua jinsi ya kui download hii kitu, au dowload manager yoyote...
Mi ni mpenzi sana wa movies;uwongo mbaya hasa muvi za kimarekani kutokana na mpangilio wake wa stori kwa ujumla. mf utakuta mtu ka Nicolus Cage anaigiza ka mwalimu(lecturer) yaani jamaa anaitendea...
Mashabiki wa mpira wa miguu hukumbwa na kimuhe muhe wakati mtanange ukiwa unaendelea ambapo mmoja wapo ni kile kitu kinaitwa MIDADI.
Je una kumbukumbu ya tukio lolote la midadi ulilolipataa...
Tumechoshwa na habari na thread za Zitto Kabwe. Lets refresh our mind with these nice congolese songs
Pepe Kalle & Empire Bakuba- Mamie (Papy Tex) 1992 - YouTube
wana ndugu najua wengine watakuja kuuliza bongo satra seach mi najua wakitoka pale wanakuwa wanamuziki wanapata vipaji na ajira zao kuna hawa maisha plus mwishowe mtu anafaidika na nini mbeleni...
wakuuu naona ni share nanyi series ambazo sita weza kuzisahau or my top 5
.kyle xy
.touch
.secret circle
.chuck
.mind your language
kama umewahi kuona moja kati ya hizo je wazionaje.....
movie ya kwanza (the unspected journey). ilitoka 2012. mwaka 2013 imetoka the desolation of smaug ndo nataka kuanza kuicheki ila kwa kuangalia highlight naona kutakuwa na movie tatu kama lords of...
Wakuu wana JF kuna wimbo niliwahi kuusikia miaka ya nyuma kidogo niliupenda ila simkumbuki Msanii wala Jina la Wimbo ila maneno haya yaliimbwa humo:
Kama ni watoto,
fika kwetu posa...
Here are the conquerors from each category:
Instrumentalists: Nikita from Ukraine, Lugansk
Dance Groups: Stroopers from Philippines, Alilem, Ilocos Sur...