Nimestuka kuna wizi mbaya unaofanywa na wasanii hasa wa filamu,utakuta msanii anatoa movie inapart mbili,wakati angeweza kuweka part 1 tu,ila utatizama part one inaishia mtu anaenda kazini kisha...
kutoka gazeti maarufu nchini Kenya ifuatayo ni orodha ya wasani matajiri
1.JAGUAR(KENYA)
2.PREZZO(KENYA)
3.CHAMELEON(UG)
4.BOBI WINE(UG)
5.BEBE COOL(UG)
Tz tuko nyuma
Wadau naomba mtu mwenye kujua sehemu nzuri ambayo mtu unaweza kutoka out na ukafurahi na rafiki zako. Binafsi mimi napendelea kutembelea sehemu ambayo naweza kuogelea katika swimming pool alafu...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,nina shida sana na hii Tamthiliya ya La Revenge iliyotikisa Bongo miaka kadhaa iliyopita,mwenye nayo au kujua jinsi ya kuipakua aniambie.
Hii ngoma mpya ya weusi GERE ni balaa tupu .flow kali ,beat kali ,kiukweli wamekuja kitofauti sana mara ya kwanza kuisikia nilishtuka kidogo lakini baada ya kuisikiliza tena nimewaelewa sana...
Kuna wimbo mmoja wa dansi, wa siku nyingi kidogo, sehemu ya maneno ni "ikiwa majungu ni mtaji yakaufanya utarike, ikiwa majungu ni biashara itakufanya ununuliwe. Ikiwa unaonaelimu ni ghali jaribu...
jamani naomba kujua hivi huu wimbo wa zamani unaoimba "Baba na mama nipeni demokrasia ya mapenzi" uliimbwa na bendi gani na unaitwaje ?natanguliza shukrani
KILA mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe, kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe, kila mtu atatoa hesabu yake mwenyewe siku hiyo ikifika
Hiki ni kipande cha wimbo ambao ulivuma na kupendwa...
Wadau especially wapenzi wa stand up comedies pamoja na Black Americans comedy movies; nani mkali kati ya hawa manguli wa kutuvunja mbavu kwa vicheko ;
Eddie Murphy
Martin Laurence
Chris Turker...
31/1/2014 pale pale nyumbani lounge, 3 anniversary and re open party ya kufa mtu na burudani Kali kutoka machozi band ikiongozwa na commando jide mwenyewe, njoo upate bahati ya kuniona live pale...
Hamjambo waku ndugu zangu? Wakati wa utoto wetu hasa tuliokulia au kuzaliwa vijijini tulikutana na burudani ya bangobango ambapo kwa sauti ya kuvutia walikonga nyonyo zetu. Nimewahi kusikiliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.