Tulizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 848
- 664
Kama unapenda music wa nyumbani..angalia na sikiliza kwa makini..halafu jiulize..
[video=youtube_share;P_LN7a2-iQ4]http://youtu.be/P_LN7a2-iQ4[/video]
CC: Invisible, Dark City
- Umesikia sauti za wazee wetu ambazo haijachakachuliwa na electronics..
- Umesikia Solo ...solo will go n' sit at the bottom of your heart..
- Umegundua muda gani ni wa maneno na muda gani ni wa rhythm..
- Umegundua kwenye mashairi hakuna matusi...
- Umeona wazee wetu hawajavaa milegezo na wala hawaonyeshi chupi zao..
- Hakuna kinadada wanaoonyesha viungo nyeti..ili kupumbaza akili za watu wasi-enjoy music..
[video=youtube_share;P_LN7a2-iQ4]http://youtu.be/P_LN7a2-iQ4[/video]
CC: Invisible, Dark City
Last edited by a moderator: