mambo vip wadau wa jf kama kichwa cha thread kinavyojieleza nahitaji msaada wapi nitaipata nyimbo ya mirro inayoitwa nibembeleze my boo,mashairi yake inasema nibembeleze kwenye beat ya mazuu jina...
Sikiliza huu wimbo wa Dr Remmy, kuna meseji ya ukweli kabisa kwa maisha ya sa hivi, unakuta mtu umekaa muda mrefu mbali na nyumbani halafu wanataka urudi utarudi vipi mikono tupu.
IMEKUWA nikiandika uchambuzi wa maoni juu ya waimbaji wa muziki wa Injili, ambapo pamoja na kazi nzuri wanayoifanya ya kufikisha ujumbe wa Neno la Mungu kwa njia ya kuburudisha, baadhi yao...
Come and join the FUN!! ↓
→UHURU WALK & TREASURE HUNT 2014.
Febuary 2nd 7A.M 6.5KM
Giving orphans a chance for better tomorrow!!
Take a step forward & contribute from Tsh 5,000/-...
Natafuta chuo chochote nchini Kenya au south Africa kinachofundisha acting,directing and script writing kwa bei nafuu,nataka nilete mabadiliko kwenye tasnia ya filamu nchini...shukrani
Kwa wale wapenzi wa Hip Pop jina hili sio la kuuliza na wale wanaofuatilia kwa ukaribu zaidi watakuwa wanakumbuka mazingira yaliyozunguka mauti yake.
Zimekuwepo fununu nyingi na uzushi lakini...
JUSTIN Bieber has been arrested in Miami Beach for drag racing and driving under the influence, police told local media. NBC Miami said Bieber was in a rented Lamborghini but...
[Ukombozi Africa Urafiki Jazz Band]
Mwenyekitiiiiiii,
Wa nchi tano zilizo mstari wa mbeleeee,
Tunakuomba, Uzidishe mapambano ya kusini,
Mwa Afrika,
Kwani maadui , wa Afrikaaaaaaaaaa...
Anaitwa Rod Temperton.
Pamoja na Michael Jackson kutoa Album yake iliyokuwa sokoni zaidi ya mwaka mzima, ni wimbo wa huyu jamaa ulikuja kubadilisha POP na MJ akawa King wa Pop duniani. Wengine...
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara amemteua Mheshimiwa Pindi Chana kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Filamu na Michezo ya kuigiza katika kipindi cha miaka mitatu ijayo...
Wakuu wapi naweza kuipata DVD ya hiyo movie kwa maeneo ya Morogoro au Dar es salaam?
Mwenye kufahamu please....hiyo movie mara ya mwisho kuiona ilikuwa mwaka 2001.
Futuhi ya startv nimetokea kukipenda sana hiki kipindi kinafundisha, kinaburudisha sana.
Tofauti na vipindi vingine ambavyo wao huburudisha tu ni kingine hufuata maadili ya kitanzania kuanzia...
MWANAJF;
Fuata hii link na ubarikiwe na wimbo huu wenye ujumbe mkuu sana katika maisha ya mwanadamu wa leo.
Kila la kheri.
Njia ya kalvari (Kurasini SDA choir) - YouTube
Unamkumbuka msanii aliyetamka hivyo ktk wimbo wake?
Huyu ni O-ten kijana aliyekuwa na bifu kali na Afande Sele.
Jamaa kaishiaga wapi? Hizi ni kauli kali zisizojenga ktk maisha!
Kama ulikuwepo...
STAILI, vionjo na mfumo mzima wa muziki umekuwa ukibadilika kila siku kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo hali ya kwenda na wakati.
Mabadiliko haya kwa upande mwingine yamekuwa sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.