In just three days, Beyonce sold more than 617,000 Pitia hapo www.Daily news.com .SASA hichi kitu kimenishangaza sana Mpaka nika Amua kuweka huu Uzi hapa.najiuliza after one month itakuwa kauza...
Wana jukwaa habari zenu?kwa wafuatiliaji wa hii series nimefika season.ya nne cjaielewa kabisa.ufafanuzii plz maana mara waonyeshe vitu vilivyopita,mara vijavyo
Mnapiga sebene kiwango duni halafu mnategemea washiriki wacheze vizuri?Hivi msipoharibu huwa hamjisikii raha?Halafu acheni kucheza wimbo mmoja mnaharibu sana kipindi na halafu kwa nini msiruhusu...
Ikiitwa TVT enzi hzo!!!!.....Ulijitokeza Wivu wa Kijinga wa kuona ITV ina Watazamaji wengi....Serikali ikastopisha
Tamthiliya ya THE PASSION kulinda tamaduni ya Mtanzania..kiukweli THE PASSION...
A Florida man who won a contest to watch the final episode of the drama Breaking Bad has been charged with drug possession.
Ryan Lee Carroll was arrested for possessing a synthetic narcotic and...
'Fresh Prince' star James Avery dies
Heart surgery complications caused death
Actor James Avery, who played the beloved Uncle Phil on the hit 1990s sitcom "The Fresh Prince of Bel-Air,"...
Ndugu zanguni,
Leo wengi tunajifungia majumbani na familia tukiusubiri mwaka mpya 2014.
Mimi hapa nilipo nina debe la ulanzi, bakuli la bagia na jikoni kale kamnyama kanapikwa
Mwenzangu huko...
Waungwana ambao washamiliki ving'amuzi vya azam tv, nimesikia kuna stesheni mpya za Itv, Eatv na Star tv wameziongeza tayari. Mwenye kujua jinsi ya kuzi search msaada tafadhari.
in 2011 she was named one of the top 50 African-American film stars of all-time by Complex - See more at: Adult Film Star Alicia Tyler Dead At Age 27 (Video) | Soletron
Nimejaribu kuingilia kule kweny sport imekuwa ngum ndio nikakumbuka swala la utambuz wa melody mbalimbal pia ni tech. Sasa wakuu kuna wimbo flan si wa hapa nchini labda ni wakizulu unapart...
ni kwa nini nyimbo nyingi za bongofleva zinawahi kuisha ladha?nionavyo mimi wimbo ukitoka unavuma baada ya muda mfupi hakuna wa kuusikiliza tena!!.nisaidieni tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.