GABRAISON5
JF-Expert Member
- May 13, 2013
- 208
- 44
Najitokeza jukwaani kuwapongeza watu wa bongo5 kweli wana dhamira nzuri ya kuendeleza sanaa tanzania leo hii wametangaza kutoa tuzo kwa wasanii wa muziki filamu na wanamichezo hakika wanastahili pongezi na kuungwa mkono ili wafanikishe dhamira yao njema.HEKO BONGO5 KWELI MWAWEZA