nude (naked) dancers!!!!

nude (naked) dancers!!!!

gateway

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
467
Reaction score
123
kuna wakati nahisi nimemis hii kitu lakini naona kama vile umri na majukumu hayanipi nafasi.miaka ya nyuma kidogo nilikuwa kwa mu7,kulikuwa na kumbi za starehe za aina hii,wao wanaiita "ekimansulo" inasomwa 'echimansulo'.wadada wa haja wanapanda stejini,wanacheza,wanasaula mpaka wanabaki watupu kabisa,wanakuwa wanazunguka hall nzima,watu wanapanda dau,mara akusogelee akunusishie,mara ajishike k akupangusie usoni,mara aje akukalie,mara aje atake mate.... yaani ilimradi ni burudani tu.ikifika kumi alfajiri aliyetoa dau kubwa anamchukua bidada anayemtaka lakini sharti amrudishe saa kumi za jioni ili ajiandae na shoo inayofuata usiku....


dah kweli ujana maji ya moto,nahisi kuna wakati nilipoteza dira na uelekeo lakini yote yamepita!!!!

mambo mengine hayana tija katika maisha
 
Hivi hapa kwetu Tanzania naweza pata wapi show kama hiyo, nataka kuzuka nikale ujana
 
Back
Top Bottom