SwahiliWood ni Rasmi?

SwahiliWood ni Rasmi?

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,308
Reaction score
17,407
Hivi neno Swahiliwood maana yake ni nini hasa? Nimekuwa nikikutana na hili neno mara kwa mara kwenye mambo yanayohusu Filamu zetu hapa TZ.
Je, limetokana na Hollywood ya Marekani? Na Je, ni neno rasmi linalotambulika na BASATA/BAKITA n.k?
 
Back
Top Bottom