Hatimaye nimeipata hii series

Hatimaye nimeipata hii series

komeka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
1,072
Reaction score
404
Kuna series ya kikorea inaitwa brilliant legacy ambayo nilikuwa naitafuta knoma hatimaye nimeipata .....ilishawahi kuoneshwa capital one tv ila waliikatisha km mnakumbuka
 
Kupata series uliyoipenda ni raha sana. Furahia.

Mimi nasubiri season two ya "House of Cards" itapatikana kuanzia February 14 Netflix.

Let the weekend binge watching begin.
 
Hii series inahusu mtoto flani wa kishua aliyekuwa anatoka masomoni nchini marekani na kwa upande kwny hyo hyo ndege Kuna demu pia alikuwa anatoka marekani kwa bahati mbaya wakabadilishana mabegi bila kujua na hpo ndyo drama ilipoanzia walikuwa na bifu kubwa ila baadaye walikuja ku fall in luv
 
Si kila thread lazima uchangie mazee, kama unaona "so what" cha kufanya ni kuipotezea thread tu. Hapa wenyewe washabiki wa series watapost, inaonekana umeingilia fani isiyo yako.

Hii fan ya uvivu naipenda sana na kwa huyo mtoa mada ni kwamba amepata ss tufanyeje sasa si jambo lake binasfi
 
Kupata series uliyoipenda ni raha sana. Furahia.

Mimi nasubiri season two ya "House of Cards" itapatikana kuanzia February 14 Netflix.

Let the weekend binge watching begin.

Duh binge watching? Kweli unaipenda mkuu
 
Mkuu @ofsa hujui maana entertaiment tht y cku post kote nikaja ku post huku
 
mkuu komeka, pia kwa wepesi wa kupata series nyingi za kikorea tafuta application ya DRAMA5 DOWNLOADER ipo kwenye jukwaa hili nadhani,ukiikosa ni pm nitakupa.
 
mkuu komeka, pia kwa wepesi wa kupata series nyingi za kikorea tafuta application ya DRAMA5 DOWNLOADER ipo kwenye jukwaa hili nadhani,ukiikosa ni pm nitakupa.

asante mkuu ngja nichek
 
Kuna series ya kikorea inaitwa brilliant legacy ambayo nilikuwa naitafuta knoma hatimaye nimeipata .....ilishawahi kuoneshwa capital one tv ila waliikatisha km mnakumbuka

Mie nimeishaimaliza ni nzuri sana
 
Wakuu tafuten hii series ni ya ukwel uzur wa tamthlia za kikorea zina maadili sana unaweza kucheki hta na wazazi
 
Hii series inahusu mtoto flani wa kishua aliyekuwa anatoka masomoni nchini marekani na kwa upande kwny hyo hyo ndege Kuna demu pia alikuwa anatoka marekani kwa bahati mbaya wakabadilishana mabegi bila kujua na hpo ndyo drama ilipoanzia walikuwa na bifu kubwa ila baadaye walikuja ku fall in luv

nmeikumbuka hii series ilioneshwa capital tv ni nzur sana
 
Wakuu tafuten hii series ni ya ukwel uzur wa tamthlia za kikorea zina maadili sana unaweza kucheki hta na wazazi
Mkuu unanitia mzuka ujue; hebu ielezee vizuri...ni genre gani? Action/Thriller, Comedy, Family, or?...sie wengine tupo addicted na particular genres alone.
 
Kiranga, you mean hata huku jimboni kwe2 Simiyu?

Umedata.

Simiyu mtatumia mtandao wa Gambosh naona 🙂

Huku mpaka Obama anaifagilia "House of Cards". Ame tweet "No spoilers, please"

President Obama led the charge with a note on his Twitter on Thursday: "Tomorrow: @HouseOfCards. No spoilers, please."
 
Back
Top Bottom