Nimesema hivyo coz sijui ni muvi gani nzuri nnayo weza kuitumia kuwaburudisha ndugu na jamaa watakao kuja kunitembelea kwenye msimu huu wa krismas
botom line nitoe shukrani zangu za dhat kwako ww...
[verse1]
Peace to the five
Percenters,online engine inventors,shout to them niggas,family men bringin' home dinners.
Watch out for desperate lonely woman, hurt ya happy home.
Miserable and alone...
Kwa wale wanaomkumbuka gwiji huyu wa kupiga vyombo baridi (saxaphone) na kuimba wanamkumbuka vizuri alivyotama na nyimbo zake kali sana kutoka south afrika, kama vile ,Skorokoro,weekend special...
Wema Sepetu ni mmoja kati ya wasanii wakali wa filamu ninayempenda kutokana na jinsi anavyoigiza.
Kutokana na hali hiyo nilimfuatilia kupitia ukurasa wake wa f/b hatimaye tukafahamiana.
Wema ni...
Je huyu Muimbaji unampa ngapi kati 10 { Mfano 5 ya 10 au 10 ya 10
Ukimlinganisha na uimbaji wa Bob Marley Mwenyewe
Old pirates, yes, they rob I
Sold I to the merchant ships
Minutes after they...
Miaka mitatu iliyopita ukiwa mtaani unakuta mabanda ya kuonyeshea muvi za Bongo kwa kiingilio kikubwa kutegemeana na nani aliyecheza hiyo muvi. Lakini sasa hivi limebaki jina tu na mabanda...
Kama kuna mwenzangu mwenye mapenzi na old school TZ Hiphop ningeomba anishtue kama anayo mp3 ya wimbo wa Hashim Dogo iitwayo 'I shot an emcee'. Kama sijakosea, ilitoka kati ya miaka ya mwisho mwa...
Ni muda sasa, toka music yetu ianze kuchukuliwa kwa umakini na hata kuundiwa harakati..
Ni vizuri, napongeza!
Ningependa kuchukua fursa hii kukumbushia kidogo harkati za hii game ya music (hasa...
wana jf wanaoifaham mbeya ya sasa ilivyo,naomba msaada wa kujulishwa sehemu nzuri ya kwenda na familia yangu kula na kunywa jijini hapo katika siku ya xmass.
Kuna uvumi umesambaa huku lindi na Mtwara kuwa Diamond platinum z atatoa shangwe za kufa mtu ktk sherehe za kuuaga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya wa 2014 watu wa Lindi ba Mtwara tuna furaha...
Jamani nawapenda sana wasanii wa hip hop hasa wale wa miaka ya 90 kwa mfani SOS B.kama kuna mtu ana nyimbo za SOS B naomba aniwekee link au anitumie hata whatsapp 0755671568......hip hop hooray...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.