"Mwenyezi Mungu muweza wa kila jambo ndiye aliyetupa fursa ya kuushuhudia Mwezi wake mtukufu wa Ramadhan, si kwa ujanja wetu Bali ni mapenzi yake tu. Nafungua kinywa changu kukiri na kusifu...
Mwaka 2010 kuna mchezo wa radio ulivuma sana uliitwa WAHAPAHA.Nautafua series zote kama kuna mtu anaweza upata au anajua namna ya kuupakua anijulishe plz.
KWA WIMBO HUU WALIO UTOA, WANASTAHILI KUASAMEHEWA KODI..( THEY HAVE TO BE EXMPTED FROM TAX )..JUST LISTEN
DOWNLOAD NA SIKILIZA WIMBO MPYA: KALA JEREMIAH FT NEY WA MITEGO & MO MUSIC -...
Wadau hope mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku, kwa yeyote mwenye mixtape yeyote ya DJ JD tafadhali naomba aniwekee hapa. Jamaa ni mkali sana kwenye disco joking.
Nakumba kipindi cha...
Jamani usiku huu nimeangalia move moja, nimefarijika sana. Lkn sikupata jina la move. Lakini ni move lililorekodiwa mbuga za wanyama, ikihusisha game ranger, majangili, watalii na wenyeji. Wote...
Hi,habari zenu ndugu zangu,
Naomba kwa mwenye ufahamu anisaidie...ninataka kuwa kwenye bendi ya muziki....bendi kama zile za msondo,the spirit ya vitalis maembe..nadhani utakua umepata picha...ila...
Funny moments ??
Do you remember if have any??
Please let me know through this discussion i have to do an assignment on FIFA world cup 2014 about people's reviews.
Kweli nimeamin huu msemo wa "maskini jeuri" ubakie kuwa msemo tu! kamwe usiuweke kwenye akili, kwajins hawa jamaa (mapacha) walivyokua waki'idis cLouds media group kwa matusi kbao tena ya nguoni...
Siri ya Mchezo -Fid Q ft Juma Nature (Hassbaby Blog) by Abby Hass - HulkShare
Napenda real hiphop. sio wauza sura na wabana pua. Kuna Vipaji vya ukweli kwenye bongo hip hop. Kuan Fid, Niki wa...
Zilipendwa ni nyimbo fulani nzuri za miaka kadhaa nyuma...kulikuwa na bendi kama sikinde,msondo,Dar Jazz,Kilwa Jazz na nyingine kibwena..
kwa mtazamo wako unadhani muimbaji gani ndie bora zaidi...
Nasikiliza wimbo wa Kikosi cha mizinga unaitwa Usipime wameimba na TID pamoja na Saigon, Humu ndani wanadai Kinondoni ndiyo waasisi wa huu muziki!!
Wanaijua vizuri historia ya muziki unaoitwa...
JAMANI KUMBE LEO NI MAADHIMISHO YA SIKU YA MAGEREZA(MAGEREZA DAY) TAARIFA YA HABARI ITV, IMENITOA MACHOZ BAADA YA KUWAONA BABA NA MWANA WAKIPAFOM WIMBO WAO WA "SEAH"
EEe tuwaombee hawa wasanii...
Huu ni mtazamo wangu kama wote tunasikiliza nyimbo za hawa wasanii utajua kweli walikikuwa nauzalendo wa kweli
WAUGUZI
wagosi wakaya tanga kunani
uhamiaji
mimi nadghani hawa nio wazalendo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.