Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,768
- 9,942
Mie binafsi napenda sana kuwashkuru AZAM Tv kwa kurusha Live Tamasha la Matumaini.
Ni matangazo ya ubora wa hali ya juu sana.
Mechi zimeisha Za Bongo movie na maswahiba zao,wabunge wa Simba na Yanga,Sasahivi tunaona AZAM FC ambapo wachezaji wengi ni Timu B maana A wapo Rwanda wanacheza na Mtibwa Sugar hawa watatumia all 90 minutes.
Kabla ya Mechi hiyo Sir Nature alifunika na bado kuna wasanii kibaoo nimeona kwenye Screen wakiwa Sehem yao wakisubiria zamu zao za makamuzi.
Wapenzi wa Ngumi nikwamba Thomas Mashali anazicha na Mada Maugo .Hapa ndio silali mpaka nione hawa jamaa leo inakuwaje maana wanatambiana sana.
Sijui kama AZAM isingekuwepo Tamasha kubwa kama hili Africa Mashariki lingeoneshwa na nani.Lakini hapa sie tuliombali tunaona kila kitu kwa murua kabisa.
Nitaendelea au tutaendelea kuwapa Updates wale ambao hawatumii AZAM Decorders.
JAZAKALLAHU KHAIRAN BAKRESSA and All Staffs wameohusika katika kufanikisha Tamasha hili ili na sie wa mbali tuone.