Chorus Yaa shahar ramadhan khair min alfu shahar ooh!
shahar ramadhan khair min Alfu shahar×2
Verse1
Mwezi ulojaa amani
utulivu wa duniani
huzidi za waja imani
ufikapo yaa...
Mzee wetu Muhidini Maalim Gurumo (r.i.p) nguli wa Muziki wa dansi nchini alikufa na kuzikwa kijijini kwao kule Masaki, kata ya Masaki, tarafa ya Sungwi, wilaya ya Kisarawe, mkoa wa Pwani kilometa...
Wakuu huyu coldplay namkubali balaa... hili song lake jipya linaitwa a sky full of stars kama hujabahatika kuuskia utafute.... ukija kwenye video ndo balaa... huwezi choka kuiangalia
Kwafujo Djs ni kundi la madj lililotamba miaka ya nyuma na kuwa maarufu lakini siku hizi halisikiki tena. nini chanzo cha kutokusikika kwa kundi hili tena?
Nahitaji kudownload hii movie lakini kila nikijaribu kudownload kwa kutumia youtube downloader inakataa,nani anaweza kunipa link nzuri ambayo nitai download kwa kutumia youtube downloader au...
Mmmmm mmmm
I get wings to fly
oh, oh, i'm alive
Yeah
when you call on me
when i hear you breathe
I get wings to fly
I fell that i'm alive
When you look at me
I can touch the sky
I know that i'm...
Wale tuliosoma zamani tuliimba sana huu wimbo;
Alaama za Chama Cha Mapinduzi, Jembe na Nyundo! Jembe ni kwa Wakulima na Nyundo ni kwa Wafanyakazi....
Ni tofauti na sasa watoto wetu...
Wakuu,
mimi ni mpenzi sana wa aina za tamthilia tajwa hapo juu,,sababu hasa ni kuwa zinahusu historia za zamani za legends,heroes na events zilizotokea karne nyingi zilizopita,,,hivyo hata...
Seven Days and One Week " is a
song by Italian-French trance music
act B.B.E. . It was released in July
1996 as the lead single from their
debut album, Games. As a
representative of the...
Leo nimewaludisha nyuma katika historia ya muziki uko marekani na kukutana na kundi la s.w.v (sister with voice) kundi hili liliotetemesha kipindi iko lilikuwa likiundwa na wadada watatu,coco...
Hbaba jukwaa moja na jb mpiana hii shoo angekuaa kijana wetu wa bonde la tandale jukwaa moja na nguli kama huyu kwa upande wa mziki wake jukaa lingekoma
Ndg
naomba mwenye nyimbo ya Nachechemea iliyoimwa na Hussein Jumbe pia na nyimbo ya huruma kwa wagonjwa ya DDC mliman park anisaidie au anielekeze namana ya kuzipata.
Natanguliza shukran
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.