Licha ya kuwa ni radio yenye kuchukiwa na wengi kwenye mitandao ya kijamii Radio Clouds Fm ya Tanzania imeingia kwenye Top 20 ya radio bora Africa.
Source: networkafrica.com/top-20-best-radio-stations
hahaha honestly huwa siisikilizagi hyo redio na wala sijawahi kuichukia, ila watu wa humu JF wana gundu sana kila wanapoweka chuki wanafeli. Diamond wanampga zengwe weeeee lakin anazidi kutoboa tu. Cloudz nayo hivyo hivyo lakini imeingia top 20.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.