William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Wananchi 6,000 au Elfu Sita walijitokeza kushiriki kwenye ile Party yangu niliyoitangaza siku za nyuma hapa JF, ukumbi ulikuwa na uwezo wa kuchukua watu 4,500 tu kwa hiyo wengine 1,500 tulishindwa kuwachukua na tunawaomba radhi sana, jamani najua kuna wananchi wengi mlikuja kutokea hapa ninawashkuru sana na sasa tunaelekea Mikoani na this Instagram Party Le Mutuz Phenomene.
Le Mutuz Big Show