Nyimbo kali za Eid Mubarak

Nyimbo kali za Eid Mubarak

Mzanzibar Halisi

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2014
Posts
284
Reaction score
106
Habari zenu wanajamii katika kipindi hichi cha skukuu ya eid nyimbo ambazo zilibamba Club na kufanya kila mtu mzuka kuwa juu na kucheza bila ya kuchoka ni hizi 20 bora.
1.Mafikizolo ft Davido
Tchelte(good life)
2.Yemi Alade Johny.
3.PSquare Testimony
4Daimond Platnumz ft Davido Number one Remix
5.Msami Sound Track
6.Chris Brown ft Nick Minaj Love more
7.Shetta ft Diamond Kerewa
8.Ommy Diampoz ndagushima.
9.Mkubwa na wanawe Najuta
10Chege ft Temba Wauwe
11.Madee Nisheeda
12.Davido Aye
13.Tundaman ft Ali Kiba Msambinungwa.
14.Rich Movoko Roho Yangu.
15.Victori Kimani Ft Diamond,Ommy Diampoz Prokoto.
16.Kiba square Pita mbele.
17.ney wa Mitego Nakula Ujana.
18.Jay Martin my body.
19.Diamond Platnumz Mdogomdogo.
20.P square Personally
 
Asante kwa taharifa Mzenj Originale,ila ungetuambia ni club zipi ulifanyia iyo research.
 
nilipoona kichwa cha habar nikajua nyimbo za kidin kumbe..haya endeleeni
 
Asante kwa taharifa Mzenj Originale,ila ungetuambia ni club zipi ulifanyia iyo research.

Bwawani hotel kwa bhaa style au komba disco. Chukwani kwa Dady G au G Lover na club za Kiwengwa.
 
we mzenji mbona hujui kutunga kichwa cha habar yani topic na ulichoelezea haviendan hata kdogo
 
Mimi nilidhani ni kaswida kumbe ni hii miziki ya ahera .....
 
Mzazibar gani huyu anamambo ya kidunia zaid ya yale ya akhera
.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom