Mimi nimpenzi wa nyimbo za kizazi kipya ila napata shida sana kila kitu Diamond kweli jamani wana jf nikweli hakuna waimbaji wakali ila diamond?
Tuseme ukweli some body there anauwa vipaji...
Wadau habarini za jioni' mm nina mzuka sana na Music, napenda sana kupiga drumz, Guitar na kinanda.
Lakini katika vyote' nachoweza kidogo ni drumz tu. Sasa nataka nijifunze kupiga kinanda na...
Shot through the heart
and you are to blame
you give a bad name
I played my part and you play your game
You give love a bad name...
Bon Jovi - You Give Love A Bad Name - YouTube
Chorus Yaa shahar ramadhan khair min alfu shahar ooh!
shahar ramadhan khair min Alfu shahar×2
Verse1
Mwezi ulojaa amani
utulivu wa duniani
huzidi za waja imani
ufikapo yaa...
Mzee wetu Muhidini Maalim Gurumo (r.i.p) nguli wa Muziki wa dansi nchini alikufa na kuzikwa kijijini kwao kule Masaki, kata ya Masaki, tarafa ya Sungwi, wilaya ya Kisarawe, mkoa wa Pwani kilometa...
Wakuu huyu coldplay namkubali balaa... hili song lake jipya linaitwa a sky full of stars kama hujabahatika kuuskia utafute.... ukija kwenye video ndo balaa... huwezi choka kuiangalia
Kwafujo Djs ni kundi la madj lililotamba miaka ya nyuma na kuwa maarufu lakini siku hizi halisikiki tena. nini chanzo cha kutokusikika kwa kundi hili tena?
Nahitaji kudownload hii movie lakini kila nikijaribu kudownload kwa kutumia youtube downloader inakataa,nani anaweza kunipa link nzuri ambayo nitai download kwa kutumia youtube downloader au...
Mmmmm mmmm
I get wings to fly
oh, oh, i'm alive
Yeah
when you call on me
when i hear you breathe
I get wings to fly
I fell that i'm alive
When you look at me
I can touch the sky
I know that i'm...
Wale tuliosoma zamani tuliimba sana huu wimbo;
Alaama za Chama Cha Mapinduzi, Jembe na Nyundo! Jembe ni kwa Wakulima na Nyundo ni kwa Wafanyakazi....
Ni tofauti na sasa watoto wetu...
Wakuu,
mimi ni mpenzi sana wa aina za tamthilia tajwa hapo juu,,sababu hasa ni kuwa zinahusu historia za zamani za legends,heroes na events zilizotokea karne nyingi zilizopita,,,hivyo hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.