Clouds TV wanawabeba wasanii fulani tu?

Clouds TV wanawabeba wasanii fulani tu?

nexus white

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
210
Reaction score
81
hata kama kumbeba au kujikomba mpunguze, kila siku mara 4 au 5 mnaweka nyimbo ya linah 'ole themba' na diamond 'mdogo mdogo'.......Wengine je?
 
Mbona hakuna tatizo kwenye hilo?
 
Sasa watapigaje nyimbo za 20% wakati hawana faida nae,clouds ni wafanya biashara lazima unyonywe ndio upate air time.
 
hata kama kumbeba au kujikomba mpunguze, kila siku mara 4 au 5 mnaweka nyimbo ya linah 'ole themba' na diamond 'mdogo mdogo'.......Wengine je?

mkuu bado unaangalia hyo tv kha ni moja ya vituo ambavyo ctak hata mwanangu aangalie maana atajifunza matusi na kupigana
 
Kaka wanakukera ya nini kupoteza muda wako kuwaangalia??
 
hata kama kumbeba au kujikomba mpunguze, kila siku mara 4 au 5 mnaweka nyimbo ya linah 'ole themba' na diamond 'mdogo mdogo'.......Wengine je?
SBUKA TV itpiga zao.Kwani lazima uangalie clouds tv?
 
hata kama kumbeba au kujikomba mpunguze, kila siku mara 4 au 5 mnaweka nyimbo ya linah 'ole themba' na diamond 'mdogo mdogo'.......Wengine je?

wabongo kw kulalamika!" kha!, utasema umelazimishwa kuangalia?!
 
Back
Top Bottom