Just when you thought popular Nairobi it-girl Vera Sidika had done the most extreme by bleaching her skin, the self-styled girl returned to Nairobi from her recent tour with another shocker...
Ili kuziwesha kupata soko kimataifa, movies zetu zimewekewa maneno ya kiingereza ili kutafasiri kinachoongelewa kwa kiswahili.
Cha ajabu English structure na grammar katika sentensi hizo ni mbaya...
Habari wana jamvi!
Nahitaji series za 24. Kama yupo mdau mwenye hiyo 24 kwenye Hdd, high quality anijulishe, nitachangia kidogo.
Kuanzia Season 1 hadi hii iliyoisha juzi juzi Uingereza.
Nipo Dar.
Ikiwa leo anatalajia kusafiri kwenda jijin Texas kwenye utoaji wa tuzo za AFRIMMA, ambazo anawania category tano,President wa WCB..@diamondplatnumz ametajwa kuwania tuzo zingine barani Africa...
Japo nyimbo hizi mbili zina maana tofauti, lakini zote zimepgwa kwa maadhi ya kiasili pia idea ya matukio na story ya video hizi mbili ni ile ile!
Sema mkali Diamond katika sehemu ya familia ya...
Anayezijua filam nzur za kuvutia zile za kizombie atupie hapa.
Ukiachilia mbali prey, wrong turn na walking dead hizo hapo tayar nmeziona, ila walking dead inatisha lakn inavutia sana nmeangalia...
Naingia pub moja Kinondoni, sehemu ambayo wao huita VIP, au Lounge. Ni pazuri, pako kiheshima na hakuna fujo kama sehemu zingine za bar hii. Hata kama una mazungumzo ya biashara ni mahali pazuri...
Kitendo cha yule mwanamke kunyakua rasket yangu ambamo ndani yake kulikuwemo na laptop, pamoja na camera ya kisasa aina ya Minolta,kilinifanya nipagawe kabisa,hata hivyo nikajikaza kiume na kumvaa...
"Venomous snakes were being ferried from Africa
to Europe in a plane. Unfortunately the person who packed the snakes forgot to lock the box in which the snakes were put. Once the plane had taken...
WIMBO UMEIMBWA NA SALUM ABDALLAH & CUBAN MARIMBA BAND
WIMBO " MKONO WA EIDD"
Baadhi ya mashairi yake
"Ihdinaa hidina mpenzi wangu ninakupa hidina.
Ee kwa heshima Mpenzi wangu ninakupa
MKONO WA IDD"
Wakuu nimekuwa nikipita mara kwa mara mitaa ya posta mpya karibu na IFM,kuna casino imefunguliwa pale inaitwa princess,Ningependa kufahamu member yoyote mwenye uzoefu na pale anijuze juu ya huduma...
I can't believe It's over
I watched the whole thing fall
And I never saw the writing that was on the wall
If I'd only knew
The days were slipping past
The good thing never last
That you were...
Wakuu ingawa Mungu kampenda zaidi na kumchukua mwimbaji huyu, mimi ananibariki sana kwa nyimbo zake, pia na shuhuda zake katika maisha yake aliyopitia. Naombeni msaada kwa anayefahamu nyimbo zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.