Sikiliza na shusha wimbo wa Juma Nature - Komaa

Sikiliza na shusha wimbo wa Juma Nature - Komaa

skunk

Senior Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
166
Reaction score
27

Attachments

  • 1407313463_nature.jpg
    1407313463_nature.jpg
    7.7 KB · Views: 606
Last edited by a moderator:
Nimeiona na video yake pia,komaa kaifanya kwa style yake ya kitambo uyu mpwa akiacha midude yake bado ni talented sana.
 
Mi aliniacha hoi ijumaa iliyopita kwenye kipindi cha FNL EATV...sijui alikua kalewa au ndo mibange yakeee
 
Link yako haiko sawa, lakini ngoma unayosema inaitwa Komaa,nilikuwa naisikiliza jana usiku. Nature bado yuko sawa, na style yake ileile ya ktambo.
 
Alifanyaje? Alienda na ndala tena? Hua hana self discipline..mbunyali huyu..

Wala,alivaa bonge la mkwaju (american boot) kama alivyosema mwenyewe,lakini mimi nilikua simuelewi but he is funny
 
Vatete va kuntangazi ,,,ha ha ha jamaa na misemo yake bana!
Namkubali Kiroboto respect nakumbuka uzinduzi wake Kilimanjaro Hotel ilikua ni balaa
 
Hana kipya , Hana ubunifu , stail ileile, melody ileile, hakuna utofauti wa audio zake ata ukiweka 10 kitu ni kilekile kinachobadilika ni maneno tuu
 
Jamaa yuko unique sana na style yake ile ile mnayosema ndo watu wanampenda. Au mnataka aimbe style zenu za kinaijeria kelele tupu. Au mnataka boringo za kina Ally Kiba?
 
Hana kipya , Hana ubunifu , stail ileile, melody ileile, hakuna utofauti wa audio zake ata ukiweka 10 kitu ni kilekile kinachobadilika ni maneno tuu

juzi kati hapa alitoa wimbo huku baadhi mistari ikimdisi diamond
na mbwembwe zote bado huo wimbo haukufanya vizuri kwenye chart za bongo
matokeo yake badala ya kumpandisha ukampolomosha
 
nimuige fifty wakati maisha yangu ni kama gari la city....hii nimeikubali...wakati wengine wanacopy wa wanigeria jamaa karudi enzi zileee...
 
Back
Top Bottom