Mtamile
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 2,838
- 1,274
Wote hawa ni Maproducer wakubwa ni moja ya mapeoducer wa Mwanzo kabisa walionza na mziki wa bongo fleva
wote hawa wana mchango mkubwa katika kuku kwa mziki wa bongo fleva Master Jay akitokea studio za MJ records na Majani akitokea katika studio za bongo records
Sasa wadau kwa mtazamo wenu ni nani kati yao ana mchango mkubwa zaidi katika ustawi wa bongo fleva??