Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Habari zenu wanajamii katika kipindi hichi cha skukuu ya eid nyimbo ambazo zilibamba Club na kufanya kila mtu mzuka kuwa juu na kucheza bila ya kuchoka ni hizi 20 bora. 1.Mafikizolo ft Davido...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akikata utepe wakati akizindua rasmi albam ya Rose Muhando mwimbaji wa muziki wa injili inyoitwa Shikilia Pindo la Yesu katika onesho kubwa la uzinduzi...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hivi huyu jamaa anakichwa gani? huwa anadondosha ngoma za akili sana, hii ngoma MAKTABA inanifanya nimkubari kwamba ni msomi kweli.
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Ngoja nijinoe mbavu kwani baadae Golden Tulip itakua ni "sheedah". Jana niliwashuhudia wachekeshaji Anne Kansiime, Omond na Mc Pilipili katika vyombo vya habari. So, leo ndio leo inabidi...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kuna muvi niliwahi kuangalia, nataka niitafute tena niiangalie ila kwabahati mbaya nimeisahau jina::: ilikuwa inahusiana na marriage, wamecheza wamarekani weusi, inavyoa anza kuna wadada...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii niiliyo translate in English The Tanzanian hip hop is broken, what could save him, young people who want to save him and his ideas were. The hip-hop variant Bongo Flava stood for the...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=174796&d=1406983122 https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=174796&d=1406983122 Hizo nimezirekodi kwa kutumia simu lakini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
We unahisi kwanini wasanii wa hip hop wengi wa Tz hawana mafanikio wa nje
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Mwenye hii nyimbo hebu tuwekee tuipakue!
0 Reactions
2 Replies
949 Views
napenda sana nyimbo za huyu jamaa nazitafuta naomben msaada wa kuzipata (audio) natanguliza shukrani za dhati
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Akitangaza Tamasha kubwa la Kumshukuru Mungu Kwa Kanisa lake Kupata Helkopta mpya Kwa Ajili ya Uinjilist Tanzania, litakalofanyika Kwenye viwanja VYA Kawe-Tanganyika Packers, siku ya Jumapili...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Jamani mimi huwa nayafuatilia sana,yanaonyeshwa EATV Jumamosi saa moja usiku na j5 saa moja. Ila siwaelewi majaji hua wanaangalia vigezo gani kwa washiriki. Utakuta washiriki wanadance vizuri...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Je, ujio wa ali kiba katika game unauchukuliaje? Ataweza kurudi katika kiti chake au vipi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
SUBIRA - AMINA CHIBABA SUBIRA - AMINA CHIBABA by RobertEliah - HulkShare
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuupata bofya hapa:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau samahani kama nitamkwaza mtu lakini binafsi sijapendezwa na zawadi zinazotolewa na shindano la dance 100 linaloendeshwa na channel 5 east Africa television. Hebu fikiria washiriki...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni SONGA na Track yake Ndege. NDEGE LYRICS Produced By: Duke Tachez Verse 1: Songa] Wengi wanaoskia zile sauti za ndege Huwa wanahisi ndege anaimba Lakini mi huwa sina mawazo ya kizembe Huwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wale wapenzi wa series ya Nikita ambao hawakuiona imerudi tena season 4 ya mwisho..Itafute uicheki
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Track mpya ya Moyo wangu iliyoimbwa na msanii mwenye kipaji, ujuzi wa sauti na utunzi Spacio "Prince wa Masauti" yawa gumzo tz. Ni baada ya wiki chache kutambulishwa clouds. Je, wewe umepata...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ukizungumzia reggae kuna Bob marley, ukija miondoko ya Rock kuna Elvis presley, Pop yupo mtu mzima Michael Joseph Jackson, Hip hop wapo Tupac na Notorious....je nani ameifanyia makubwa zaidi...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…