Jamani, Kiswahili kinachanja mbuga kimataifa, na ni jukumu letu kukifikisha mbali zaidi. Hawa ni wanafunzi wa Kiswahili waliosoma kwa wiki takribani sita katika chuo Kikuu cha Florida, nchini...
Hasheem Thabeet Aondolewa Pistons:
nyota wa kikapu ndani ya NBA mTanzania ametemwa na timu yake mpya Detroit Pistons kutoka jimboni Michigan aliyojiunga nayo siku kadhaa zilizopita.......
MTIFUANO
Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 limepita lakini nyuma yake limeacha vita nzito iliyowahusisha mafahari wawili, Nasibu Abdul ' Diamond ' na Ali Kiba huku waandaaji wa tamasha hilo...
Napenda kujinasibu kuwa mi ni moja ya mashabiki wake wa kutupwa tokea udogo wangu, kama shabiki wake nimekuja kujua kuna mambo mengi watu hawafahamu kuanzia ilikuwaje akawa anabadilika rangi...
Nilikuwa nasikiliza wimbo wa 'No Mediocre' wa T.I na nikajiuliza hivi ule wimbo ungetafsiriwa kwa Kiswahili ungechezwa radioni?
See this part of the lyrics:
All I ---- is bad bitches
I dont...
Sisi wanamkoani tunasema sasa fiesta yenu huko huko Dar es salaam, mmetugeuza shamba la bibi. Hivi ni Dar es salaam tu ndio wanaostaili kuletewa wasanii kutoka nje? Kwa ajili ya fiesta. Acheni...
Mimi sio mtaalamu wa muziki. Ila mimi ni mpenzi wa muziki kuanzia zilipendwa, RnB, Bongo Fleva, na hata Bolingo. Nimejaribu kuangalia muziki unavyokwenda naona kama kadri siku zinavyoenda na mziki...
Nimepokea malalamiko kutoka kwa wadau wengi wa burudani wakidai kuwa hawakuambulia kile alichokuwa akikiongea mwanamziki wa Marekani T.I zaidi ya ile mitusi yake...
Wengine wameshaanza kuwaza...
Teamo, Hili neno Aliimba Rihana bila shaka inafahamika na wengi alikusudia nini.
Mbaya zaidi na kwa mtu naye muheshimu kama AY naye akaja kulirudia.
Pia nimelisikia katika wimbo wa Banana...
Jana,katika kesi iliyokuwa na mvuto mkubwa duniani..Mwanariadha Pistorious anayedaiwa kumuua mpenzi wake bila kukusudia huko South Africa siku ya wapendanao mwaka jana..amehukumiwa miaka 5 jela...
nazipenda sana nyimbo za live...kuliko original version zake...so kama kuna yoyote ambae anazo naomba aziweke hapa au anipm nimpe email anitumie...nyimbo ziwe za bolingo,rhumba,zouk,afro na hata...
Kwanza salute kwako Ally K, hakika ulijipanga na kuteka umati wa maelfu kwa shangwe zile, na pole sana Diamond kwa kuzomewa. Alianza Aly k kupanda stejini, alishangiliwa sana kupita maelezo muda...
1.beenie man back it up.
2,sean paul gimme the light
3,ruppe tempted to touch
4,shaggy church heath
5,beenie man dude,
6,chaka & pliers bam bam rmx
7,daville ft.snean paul always...
Wale wadau wa nyimbo za injili (Gospel music) tembeleeni << Injili - Music - Hulkshare >> for free downloads. Tracks zitakua zikiongezwa kila siku na ni za kibongo tu, so keep visiting! :violin:
Huku kwetu manzese ni kama tangazo sasa!radio,sim,tv zote ni mwana dsm!!Kiba kaua sana mule..Vp kwenu huko?Tupe report..
NOTE:
FORM is temporary but CLASSIC is permanent!!!!!
RIP die.....!!
Wakati naangalia show ya Fiesta kupitia TBC, na baada ya kuwaona wasanii wetu wa ndani na wasanii wa kimataifa hasa Davido, nikajiuliza hili swali, kama tuna wasanii "tunaowaita wa kimataifa"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.