Wakuu naombeni mwenye kuijua hii movie ilioneshwa ITV muda mrefu kidog ..nitaisimulia kidogo
Iko hivi, kuna baba na familia yake walihamia mexico kama sikosei, alikua na watoto wakiume na wa kike...
TANZANIA KUNA WATANGAZAJI WENGI WA REDIO UKIWASIKILIZA HUWA WANAKUVUTIA NA WAPO WENGINE UKIWASIKILIZA WANAKUBOA KWANGU MIE
WANAONIVUTIA WATANGAZAJI HAWA....
1.arthony joseph....huyu ni wapo...
Habari wadau, mwenye hizi ngoma afanye msaada.
1. Nikki mbishi - feedback
2. Mr 2 - hii ni noma
3. Tanya blount- last time we made love
4. Kwaya Naioth Propheric Singers - angukia mikononi mwa...
the real african music is back,,kama hujausikiliza huu wimbo kautafute,,,nimeamin Mziki mtamu wa bongo unadumazwa na presenters,,
huu wimbo quality yake ni zaidi ya SKelew,,
Wadau,
Naomba msaada kwa mwenye softcopy ya kitabu hiki Act like a Lady, Think like A man cha Steve Harvey.
Natanguliza shukrani. Aliyenacho ani-PM nimpatie email.
Asanteni.
ukisikiliza nyimbo nyingi za muziki wa dansi za mwishoni mwa miaka ya tisini na mwanzoni mwa miaka ya 2000, bendi nyingi hasa Twanga pepeta, Mchinga sound, TOT Plus wanamtaja sana huyu Maloni...
Richard Kiel, the 7-foot-2 actor who most famously played the villainous Jaws in two James Bond films starring Roger Moore, The Spy Who Loved Me and Moonraker, and also appeared in Adam Sandler...
Kwa wale wapenzi wa alternative rock msiache kusikiliza albamu mpya ya Coldplay ikienda kwa jina la GHOST STORIES ambayo imeimba maisha ya kweli ya vocolist Martin!
tsup folks,nilikuwa nina idea chris kalegeza uzi ila baada ya hii album mpya inaitwa X nimepiga saaana salute kubwa saaana,in short kwangu ni nzuri more than the previous ones
KWA YEYOTE ATAKAE TAKA KUENDELEA NA STORY HII TAFADHALI NI TEXT HAPA 0656660223 INAITWA FINAL.DECISION NAMI NITAKUTUMIA LINK YA STORY YOTE
FILAMU YAKE ITATOKA HIVI KARIBUNI NA HII NI SEHEMU YA...
Kama upo shinyanga tuambieni,mnafanyia wapi leo fiesta??
Maana nasikia mnafanyia kwenye vumbi,ccm kambarage imekua shiiiidaa kuupata!!
Jiandaeni kesho kuugua mafua makali,sambaza upendo!!!
Nimetoka kuiangalia a holliwood movie called peeples of 2011 directed/produced by Tina Gordan chism.. A Saida Kalori song of Maria Salome' s featured as a soundtrack humo ndani..
Kwa upande...
Mtu anajibu hapo hapo,anaropoka huku akipangilia vina,majibu anayotoa ukiwaza kama yanakufikirisha but yeye anapangaje kwa kuongea tu?
fuatilia wengi wanaofanya freestyle.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.