Mwana Dar es salaam ndani ya Mtwara

Mwana Dar es salaam ndani ya Mtwara

BRN

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2013
Posts
5,379
Reaction score
6,890
Yule mjanja wa Dar es salaam,namzungumzia Alli Kiba usiku wa leo anafanya onyesho kubwa hapa Mtwara katika club ya Makonde Royal...daah shangwe zimeshaanza yaani hadi raha.Karibuni.
 
Yule mjanja wa Dar es salaam,namzungumzia Alli Kiba usiku wa leo anafanya onyesho kubwa hapa Mtwara katika club ya Makonde Royal...daah shangwe zimeshaanza yaani hadi raha.Karibuni.

Utupe updates na picha utupiemo
 
Yule mjanja wa Dar es salaam,namzungumzia Alli Kiba usiku wa leo anafanya onyesho kubwa hapa Mtwara katika club ya Makonde Royal...daah shangwe zimeshaanza yaani hadi raha.Karibuni.

daah enzi zangu mda huu ndo tunaoga kudadadeki
makonde club ndo bado haijajengwa bado iko ya makuti
watu weweeeeeeeeeee
aisee ndo bass tena uzee huu
all the best wanaaaa
tukitoka hapo tulikua tunaenda maisha kumalizia upopoooooo
 
nitawa update... nikitoka hapa Msemo nitapita kuchungulia.
 
mashabiki wa dimaond yaani hapa zile za harufu chafu zinawagonga pichu.
 
Hivi mkubwa ule ukumbi wao wa Blantyre bado upo pale maeneo ya mnarani.

Ule ukumbi mmiliki wake amewauzia Chuo Kikuu Huria cha Tanzania..ndio kwa sasa wanatumia kama kituo chao kwa Mtwara.
 
Mi nimecheka kinoma noumaaa

Dinazarde jamaa kanichekesha sana aisee nilitaka niende kwenye hii show lakini nimekata tamaa toka nipate usumbufu kwenye show hile ya Diamond hapo Makonde beach sina hamu nilikerwa sana.

Wasanii wetu wana mtindo wa kuchelewa kuanza kuimba yani nilikereka nusu niondoke lakini nikawa naione huruma hela yangu niliyo lipa kwakweli Diamond alijaza kishenzi yani sijapata kuona lakini kwa nilivyo ona wana Mtwara wana mpenda Kiba pia pengine nae anaweza vunja record ya pale!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom