Kama ulipiga gwaride.

Kama ulipiga gwaride.

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Posts
11,635
Reaction score
6,231
Kama ulicheza gwaride, basi faidi. Pia kama unapenda gwaride au ulipita JKT na kucheza kwata......

Last edited by a moderator:
Kama ulicheza gwaride, basi faidi. Pia kama unapenda gwaride au ulipita JKT na kucheza kwata......

Agaah...mkuu kwata ni tamu sana

Nilipiga ceremonial drill wakati nipo National Service nikiwa guard ya sita

Napendezwa na sana ile midundo ya band na mwendo wetu hususani wa pole
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom