kende
JF-Expert Member
- Dec 2, 2013
- 3,527
- 1,671
Hii nimerefer kwa wasanii wengi wakubwa wa hiphop Marekani, wengi wao kama hawajafungwa kwa kesi za umiliki wa silaha kinyume cha sheria basi watakuwa wamehusika kwenye vurugu zilizohusisha matumizi ya Gun, hawa ni baadhi yao;
2PAC, BIG, T.I, 50 CENT, YOUNG BUCK, LIL WAYNE, THE GAME, DMX.
#Ama ili uwe mkali wa Hiphop lazima uwe mtu wa mavurugu?
2PAC, BIG, T.I, 50 CENT, YOUNG BUCK, LIL WAYNE, THE GAME, DMX.
#Ama ili uwe mkali wa Hiphop lazima uwe mtu wa mavurugu?