Sugu na Professa Jay Wapandisha mizuka studio usiku huu!

Sugu na Professa Jay Wapandisha mizuka studio usiku huu!

Dr Matola PhD

Platinum Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
62,265
Reaction score
111,274
Hawa icon ya Bongo Fleva muda huu wako studio na tayari wameshaingiza sauti kwenye jisongi linakwenda kwa jina la Amsha amsha M4C tour 2014.

Hili dude kama umekunywa maji ya bendera ya CCM nakushauri usisikilize song hili, nadhani wote mnajuwa wana hiphop wanapoamuwa kuchana ukweli kwa mistari yenye vina, hili songi ni aleji kwa wana Lumumba wote.

Kinachoendelea sasa hivi studio stay tune:
 
Wakongwe ndani ya nyumba

Stay tune!
 
Attachments

  • 1414445588232.jpg
    1414445588232.jpg
    33.6 KB · Views: 1,483
  • 1414445613846.jpg
    1414445613846.jpg
    23.4 KB · Views: 1,394
Kazi kubwa mnoo..!!

Wakata viuno hebu tulieni watu wazima tunapozungumzia muziki piga kimya.

Yani hawa watoto Ally Kiba na Domo mnataka kuwafanisha na Sugu na Profesa Jay? haya makubwa yani leo eti Yamoto band ishindane na Msondo ngoma band.
 
Mkata kiuno nani? Mi sipo kwenye matim yenu..
 
Wewe ni taahira hujielewi, hivi unajuwa maana ya Legendary? Unaweza kumfananisha Jayzee na 2pac? hebu kajambe huko nipishe.

hahahaha noma kweli. nategemea mdundo mkali kutoka kwa producer
 
hahahaha noma kweli. nategemea mdundo mkali kutoka kwa producer

Take my word wakongwe wametulia mbaya ila kama una mahaba na magamba sikushauri usikilize hili dude ni sindano ya moto kwa watawala.
 
Mzuka umeshanipanda tayari, Matola likiwa tayari utupakulie tupate shule na maujumbe yenye ujazo na uzito wa hali ya juu.
 
Back
Top Bottom