Chorus Wimbo mpya wa Jaydee (Forever)

Chorus Wimbo mpya wa Jaydee (Forever)

Mtamile

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
2,838
Reaction score
1,274
Kupitia ukurasa wake wa Instagram kaweka hii Chorus bila shaka inaweza kuwa na ujumbe flani hasa hasa kutokana na minong'ono ya kuvunjika kwa ndoa yake

1414957877194.jpg

1414957928663.jpg
 
Atalialia sana mwenzie kishapata kiburudisho kingine hana habar
 
Mume mtamu jamani.Kama ni kweli hebu watafutane wasuluhishe waendelee na maisha yao
 
Verse 1
 

Attachments

  • 1414960293470.jpg
    1414960293470.jpg
    16.3 KB · Views: 1,059
Naona siku hizi watu mnajifanya kujua sana uchambuzi na kuunganisha dots....FUNNY!!

Anyways.....ebu atuletee sie tuburudike mwayego hayo mengine sijui ya kuachana tupa kulee......!
 
Naona wale wa kuunganisha vimaneno watapata cha kusema hapa wakianza na yule Mwenyekiti wao ambaye popo si popo, kwenye moto au ubaridi hayupo.
 
binadamu! aliimba siwema waqti ule mkasema akiachwa anamtungia nyimbo, sasa anatoa hii pia mwasema! kumridhisha binadamu kazi ikiwa mvua atataka jua likija jua ooh jua litatuua haridhiki na hali moja.
 
binadamu! aliimba siwema waqti ule mkasema akiachwa anamtungia nyimbo, sasa anatoa hii pia mwasema! kumridhisha binadamu kazi ikiwa mvua atataka jua likija jua ooh jua litatuua haridhiki na hali moja.

In life if u want to please everybody, you will please nobody at the end! Hao ndio binadamu...na kwa binaadamu,hauwezi kuwa binaadamu kibinaadamu kwa wanaadamu! Wanaadamu HAWASARIFIKI!..fanya yako kivyako kwa ajili yako,ya kwao waache nayo,waende nayo wenyewe kivyaovyao kwa namna yao wapendavyo.
 
Back
Top Bottom