MZIMU
JF-Expert Member
- Apr 29, 2011
- 4,058
- 1,377
TBC wametangaza Filamu Mpya baada ya Jin Tai Lang Kuisha. Filamu hiyo inaitwa kwa Kiswahili, Maisha ya Mama.
Katika Tangazo lao nimuemona Mama Shaomi, Mwalimu Hu, Bosi wake Mama Shaomi na Wengineo. Bonge zembe sijamuona wala Mzee Jin, lakini nadhani watakuwemo.
Itakua inaonyeshwa Jumatatu, Jumanne na Jumatano saa nne Usiku, Masurudio Jumamosi Saa sita. Ngoma inaanza Jumatatu tarehe 27/10/2014.
Ok. Tusubiri tuone.