Mwana fa awachana clouds

Mwana fa awachana clouds

"Wanamuziki" wa bongo wakishaanza kuongelea mambo yanayotakiwa kuongelewa kwenye conference room negotiation publicly naona ubaya wa kukosa elimu, exposure na professionalism.

MwanaFA hata kama nilikuwa nataka kumpa show ya $20,000 kashajishusha yeye mwenyewe kwenda $10,000 au chini zaidi.

Business is negotiation. MwanaFA usitokwe macho kwa nini yule kapata hizi, jiulize kwa nini wewe hujapata.

Sababu moja ni hii ya kutajataja vidau vyenu publicly. Vidau vyenu vishajulikana, unategemeaje mtu akupaishe juu zaidi ya unacholipwa kila siku?

Ukitaka kulipwa tofauti, fanya kitu tofauti.
 
Mwana FA ana Masters, tena kaichukua kwa bibi.
 
nimekusoma kaka..so mwana fa hana elimu?

Mtu mwenye elimu hawezi kutangaza mshahara wake publicly in this manner -if indeed this is what transpired, rumors abound in the Bongo blogosphere-. Habari hii inashusha bargaining power yake. Especially katika business isiyo na fixed rates kama hii.

One does not need to read the Keynesian theory on general employment to figure this out.

Anaonekana njaa tu.
 
Asante kwa kutoa somo kaka
 
asante mkuu hebu tumwalike huyu.

cc: Deo carleone
 
Last edited by a moderator:
Mwana FA ana Masters, tena kaichukua kwa bibi.

halafu mkuu nakumbuka hiyo masters yake kuna mwaka wabongo waliikosoa kweli.walidai alienda ng'ambo kubeba box,ndani ya mwaka mmoja alipo rejea akasema ana masters inayohusiana na maswala ya finance.

i'm wondering how comes he failed to use the financial knowledge obtained from his master degee in negotiations with clouds radio before the fiesta tour?.

naungana na aliyesema mwanaFA hana elimu.
 
Back
Top Bottom