msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,738
Waungwa niko DRC kwenye jiji la Kinshasa nimefika hapa juzi,, kitu nataka kuwaambia tu kwamba Nasib Abdul aka Diamond anajulikana ,,, ikumbukwe tu kwamba Kinshasa ni tofauti na Goma ninako tokea hapa watu wanapenda muzik wao sana na ni watu wakunata sana na mara nyingi hata mtu akiwa masikini wa kutupwa bado atakuambia kwa lingala .. kaka ngai naza mwana kinwa'' kupasua fiere za hawa jamaa si kitu kidogo. huyu Kijana Diamond kama ni kizizi basi babu yake balaa na kama ni juhudi basi vijana wengine wanapaswa kuinga. Plutnumz ana sambaa kama Ebola.