warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,213
- 18,471
Kipindi cha maisha na hustle za Wema Sepetu 'In My Shoes' msimu wa pili kinaanza tena wiki ijayo, na kwenye interview niliyofanya naye Wema amesema haya mapya;
1] Maboresho mengi zaidi, mwanzo ulikuwa mgumu sana, sasa nitaonyesha kila kitu kwa upana zaidi.
2] Safari zake za njee zitaonekana
3] Anavyotengeneza pesa na dili anazofanya
vitaonekana
4] Mpenzi wake Diamond ataonekana kwenye
show "Episode ya kwanza atakuwepo na
zinazokuja".
Show ya Wema ambaye ni Miss Tz 2006 itarushwa Ijumaa saa tatu na nusu usiku kabla ya Friday Nite Live.
Sammisago.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia.