Khanga Moko Laki si Pesa jamanii eee!!!

Mchekechoni

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
279
19
Ni leo ucku & every Wed nite, never mis the sweet looks with our lovely african beauties @ the Continental! Khanga moko tepetepe, utajibeba mwenyewe mie simo!
[video=youtube_share;klMUOPAZyrI]http://youtu.be/klMUOPAZyrI[/video]

Last edited by a moderator:
Ni leo ucku & every Wed nite, never mis the sweet looks with our lovely african beauties @ the Continental! Khanga moko tepetepe, utajibeba mwenyewe mie simo!

Mwanamke anajidhalilisha mwenyewe o anadhalilishwa?kama anadhalilishwa nani ni mhucka?
 
ni leo ucku & every wed nite, never mis the sweet looks with our lovely african beauties @ the continental! Khanga moko tepetepe, utajibeba mwenyewe mie simo!
inawezekana ikawa aina ya kazi kati ya zile 1000 zilizokuwa kwenye hirani ya m'heshimiwa.
 
inawezekana ikawa aina ya kazi kati ya zile 1000 zilizokuwa kwenye hirani ya m'heshimiwa.

kazi ni kazi bora mkono uende kinywani, ila kwa wale wa khanga moja tepetepe ni kazi zaidi ya kazi, hebu muwaulize Dina Marios na Regina Mlekwa!
 
wale ni african beauty au uchuro mtupu pale wanakuangushia nuksi tu maishani mwako...
 
Nilihudhuria promosheni ya Heineken, kuna mabinti wanacheza yaani ni noma, hakieleweki wanakata kitu gani, sijui ni kiuno, sijui matak0, sijui ni tumbo, sijui ni nyonga?
Yaani nilibako hoi.
Nasikia jumatano huwa wanakuwepo hotel contineto, ntafiunga safari niende Dsm nkajionee uhondo tena.
 
kweli hizi ni zama za uwazi. Naona mzee umevunja ukimya.
 
wacha tujiliwaze. Ila yako ni kali sana, unafunga safari kabisa toka mkoani kuja kuangalia mauno!!!!!
 
Asante kwa taarifa kumbe wako pale contineto next w.end lazima nitie maguu fahari ya macho inyeeeeeeeeeeeeeeee
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom