Twende Punchlines 4-4 (Strictly for Poets, Lyrists & Artists)

Twende Punchlines 4-4 (Strictly for Poets, Lyrists & Artists)

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,139
natumia neno kucause mass destruction,
no physical attraction but my mind is beauty,
am literary speaking so its a code now decipher,
I decapitate weak MCs u'd say am Lucifer......
 
Wasanii wanaigiza kaole CD dukani kina dada wanaigiza ulokole miili buchani #b-boy-stereo .

Mtaani kuna wanyama njoo uone vicheche ukiweza tembeza rungu kama comrade kipepe #2bars .
 
natumia neno kucause mass destruction,
no physical attraction but my mind is beauty,
am literary speaking so its a code now decipher,
I decapitate weak MCs u'd say am Lucifer......

Tumia Lugha ya Taifa ueleweke/
Usitumie Lugha ngeni utafanya jamii ikucheke/
Mi ni MC wa kweli nna mengi mapunchline/
Nna mingi mistari konde sogea nikupe saini/...
 
Ukiitwa special ujue kuna mtumba-Nicky mmbishi
 
Sina team, iwe team wema ama team kajala

Just tell them, wasimuamshe Hamza Kalala

Stone ni stone iwe tangawizi ama banza

Hatutaki story story, dondosha ujuzi kwanza
 
We unashangaa hongo kwenye kila kizingiti

Wenzio tunalipa ushuru mpaka kwenye kibiriti

Na uchumi ni wa kisoro wala haufikiriki

Ufisadi uchi wa mnyama ambao hausitiriki

We unavaa laki, me na dress buku

Sijanyoa kijogoo so sina face kuku

Chochote post hata matusi sio kesi huku

Wale watoto wenzangu tukutane facebook

Motra the future
 
this is hot bruh, lemie get back on u
 
Maisha ni mechi/na muda ndio refaree
Utasotea benchi/kazana ongeza bidii
Pia maisha ka kitasa/na elimu ndio ufunguo
Usi force kuishi kisasa/ujana utakuvua nguo
Baro achana na usharo/ujana usikutie kiburi
Jobless chimba hata mtaro/kama umekosa shughuli
Ukubwa si kutoka jando/na kujua kutongoza
Ubishoo uweke kando/ukizubaa utakuponza
Ladha ya chai sukari/majani yanaweka rangi
Ukipenda vitu vizuri/ubakhili mwachie mangi.

Utozi si supra na gucci/kwanza tafuta chapaa
Bidada hukuficha uchi/Iweje ukatae kuzaa
Ya plus maisha/bila kuingizwa kambini
Majembe utawalimisha/pasi waingiza mipini
Tambua, harusi yamalaya/ni msiba kwa alo walaghai
Acha kuishi kiyahaya/jiji litakutoa nishai
Kumbuka,maisha ni msamiati/na elimu ndio kamusi
Soma panga mikakati/ujinga zigo la nuksi
Umasikini chuo cha msoto/walohitimu wamejifunza
Mkubwa wa jiko ni moto/chunvi madini ya uvinza.....,..,,..
 
sema oyoooooooo!! umetisha jombaa
We unashangaa hongo kwenye kila kizingiti

Wenzio tunalipa ushuru mpaka kwenye kibiriti

Na uchumi ni wa kisoro wala haufikiriki

Ufisadi uchi wa mnyama ambao hausitiriki

We unavaa laki, me na dress buku

Sijanyoa kijogoo so sina face kuku

Chochote post hata matusi sio kesi huku

Wale watoto wenzangu tukutane facebook

Motra the future
 
Fanyeni mitindo huru, acheni na Accapela/
Mi ndo nasongesha duru, na hii ni just trela/
Mola namshukuru, kurap sijawahi mbwela/
Fake MCs nawafuturu, i hate them kama mamwela/
 
nimekuelewa mkuu
Fanyeni mitindo huru, acheni na Accapela/
Mi ndo nasongesha duru, na hii ni just trela/
Mola namshukuru, kurap sijawahi mbwela/
Fake MCs nawafuturu, i hate them kama mamwela/
 
Asante kwa kunielewa hiki kipaji sio ngekewa/
Mwenye thread mbona simwoni, au ban kapewa?/
Siku nikifungua kanisa fake mcs watakemewa/
Mistari zao zinatia hasira kama demu ukimegewa/

mwenye thread nimerejea ili moto kuuchochea,
I drop harder till wanakosa chakuongea,
life liko tight vile inaniongezea hasira,
hizi lines internationale kama tv ya Al-Jazeera
 
mwenye thread nimerejea ili moto kuuchochea,
I drop harder till wanakosa chakuongea,
life liko tight vile inaniongezea hasira,
hizi lines internationale kama tv ya Al-Jazeera

Al-Jazeera we cha mtoto' mi na moto wa CNN/
Niite kende kiparangoto' naandika verse bila peni/
Toka nianze std one' sijawahi toka top ten/
Sasa nashika usukani' kwenye hii hiphop fani/
 
Al-Jazeera we cha mtoto' mi na moto wa CNN/
Niite kende kiparangoto' naandika verse bila peni/
Toka nianze std one' sijawahi toka top ten/
Sasa nashika usukani' kwenye hii hiphop fani/

hii fani ya kughani naweka vina na mizani,
dzain Simba na yanga navoleta upinzani,
verses sio kaa zim dollars daily zishuke thamani,
mi ndo Morgan freeman version ya Kofi Anan
 
Bongo team kibao, cjui kocha ni nani
Napiga chenga kisha bao, me sinaga utani
niki flow wana keep quit, coz me ni big papa,
ganja ni daily diet, Jah bless me ni Rasta
 
Bongo team kibao, cjui kocha ni nani
Napiga chenga kisha bao, me sinaga utani
niki flow wana keep quit, coz me ni big papa,
ganja ni daily diet, Jah bless me ni Rasta

ganja ni daily diet, kwangu ni daily bread,
nakuja ghafla kama kifo they better get ready,
natawanya ma MCs kaa Wegener na continental drift,
am so fast n furious ila hii ni Tokyo drift!
 
Bongo team kibao, cjui kocha ni nani
Napiga chenga kisha bao, me sinaga utani
niki flow wana keep quit, coz me ni big papa,
ganja ni daily diet, Jah bless me ni Rasta

Ni kweli timu kibao' na mimi ndo kocha wenu/
Wacha nile mafao' sioni so kula kwenu/
Sichagui chakula' haina haja ya kuleta menu/
Wadada mavuvula' nawapa hi habari zenyu?!/..
 
ewe ndugu mtanzania mtanga njia
maarufu.../ ari mpya ila kasi hii njia
hairuhusu..../ hivi "umesikia"
wanakuibia? au umeskia nusu
nusu..../ ama nafs imeridhia kutumia
chini ya buku........
 
Back
Top Bottom