Anaitwa JUSTIN KALIKAWE. (R.I.P).Muziki wa aina hii ndio aina ya muziki unaoweza kudumu milele. R.IP (Return If Possible )Justin Kalikawe
https://www.youtube.com/watch?v=AbSY1PFyQwA
Kuna hili wimbi la wasanii kwenda South Africa kufanya shooting za nyimbo zao. Binafsi sijaona ubora wowote wa video ya Ommy dimpoz na Wanjera yake, nilidhani kufunga safari all the way to South...
wakuu hii tv ilikuwa inaoneshwa na ITV miaka ya nyuma kidogo! je kuna yeyote anaweza kunisaidia kuipata hata kwa gharama kidogo...please please msaada kwa yeyote.
1.the ruins-kuna majani yanauwa watu humu ni noma.yanakuingia mwilini au yanakuviriga kama nyoka
2.untraceable-kuna jamaa anateka watu afu anarekodi kwa video camera.kisha anarusha kupitia...
Wimbo mpya wa Ally Kiba beat inafanana na wimbo wa Matonya (Unanimaliza).
Nadhani watalaamu wa muziki mnaweza kugundua Producer alifanya nini maana mi naona kilichoongezeka ni guitar tuu, ila...
Wiki moja imepita toka huu wimbo utoke. Swali: Je, unafanya vizuri kwenye radio stations na clubs kama ilivyokuwa kwa Mwana?
Yalisemwa mengi sana, wengine mbaya, wengine bonge la wimbo, wiki moja...
Ila una mafunzo sana ukifuatilia kwa makini, jamaa ana mashairi kibao.
https://www.facebook.com/video.php?v=1172953669385716&set=vb.157303284284098&type=2&theater
Heshima mbele wakuu,
Jana nimelipia tsh 20000 Azam tv ili niweze kuona channels zote ikiwemo VIASAT NATURE/HISTORY Channel lakin cha ajabu naambiwa access denied kwa baadhi ya channel ikiwemo...
Mwanamke anayedaiwa kuwa na sura mbaya duniani na mitandao inayomuonea ametoa filamu kuhusu maisha yake.
Maisha ya Lizzie Velasquez mwenye umri wa miaka 26 yalibadilika kabisa baada ya kuona kanda...
Kwa wote wanaohusudu huu wimbo na kuhisi kile kinachosemwa ni wao wanaowaambia adui zao, tiriririkeni hapa chini kwa ma verse ya mwendelezo wa wimbo huo.
Jamani mwenye link ya wimbo wa aslay na beka uitwao YA MOTO naomba aniwekee niudownload.
Hii ngoma naipenda sana kwa kweli. Hao madogo wana vipaji haswa.
Dogo Aslay kaiua hiyo aya ya kwanza...
MATAZAMIO YA HIP HOP KATIKA LUGHA LAINI
Hip Hop- ni aina ya muziki ambao unaimbwa kwa staili ya kurap/kufokafoka kwakuzingatia Vina vya Mashair.
Aina za HIP HOP
1:HIP HOP...
Wadau nilikuwa namsikiliza John Dillinga DJ JD aliupiga huu wimbo ametaja na jina something kama AIMEX 123 sasa nimejaribu kusearch online sipati kitu kinachofanana na hiko,pengine labda hilo jina...
Binafsi sio mpenzi sana wa nyimbo za Ommy Dimpoz lakini mtu anapojitahidi kufanya kitu kizuru ni muhimu kumsifia
Hii video imefanyika kwa Madiba production ya Godfather kama kawaida
I like the...
Kuna series(filamu) zilizodumu kwa muda mrefu sana mfano Isidingo,kwa anaefahamu ni series (filamu) ipi iliyotia fora kwa kurekekodiwa kwa muda mrefu? nani mtengenezaji wa script hiyo? sababu zipi...
JANA tarehe 13.3.2015 kulikuwa na wadau kukutana na kujadili kanuni za COPYRIGHT AND NEIGHBOURING RIGHTS COMMUNICATION TO THE PUBLIC REGULATION 2015. Katika kanuni hii kunatayarishwa njia rasmi za...
Yani hawa OK sikuhizi hawana jipya.... unaweza ukaangalia vipind 10 mfululizo ukabaki umekunja sura. Hawachekeshi. Mi naona wachekeshaji watakao kimbiza mpaka mwisho ni Mizengwe. RIP Orijino Komedi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.