GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,449
- 127,624
Haya matangazo yanayokwenda hewani kila sekunde, dakika na saa Clouds TV ya kuhusiana na matamasha yako ya uzinduzi kama siyo utambulisho wako wa single yako ya "Cheketu Cheketua".
Huko Mikoani umeyalipia wewe au ndiyo yanapigwa sana kisha nyomiI likiwa kubwa ndiyo wao wanajilipa halafu wewe Unaachiwa vumbi tukwa pes kidogo.
Naomba kujua ni kwamba wewe ndiyo umetaka yachezwe kwa wingi huo au wanakulipa kupitia jasho na mgongo wako
Wadau wa Ali Kiba na wale wenye uchungu wa unyonyaji wa wasanii wetu wa kibongo
Karibuni.