white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,618
- 13,890
Natanguliza shukurani, mwenye wimbo huu wa mlimani pack, sijui unaitwaje ila kuna mashairi yanaimba MUME HUYU C RIZIKI TENDE HALUAHALUA!! Nimejaribu kuutafuta cjaupata. nitashukuru wakuu.
Nadhan unamaanisha huu mkuu, enjoy.