WIMBO MPYA: YAMOTO BAND – NITAKUPWELEPWETA
Pamoja na kuwa na midundo na sauti mwanana lakini naona huu wimbo una maudhui mengi ambayo sidhani kama yamepitia uhariri wa mamlaka husika...
Kuna wasanii wengi tu bongo ambao ni wakali sana na jamii inajua kwamba ni wakali but hawajabahatika kupata tuzo hata moja nchini (esp Kili Awards) japokuwa wanahits nyingi/walikuwa na hits nyingi...
Ziggy Dee - Enomaki
Dudubaya - Nakupenda mpenzi
K-sal - Mkiwa
Mez B feat Ray C - Kama vipi
H-Baba - Mpenzi Bubu
Bob Haisa - Nipeleke kwa mama (Nipe mgongo)
Matonya - Violet
Alikiba - Nakshi nakshi...
1. FEZA KESSY.
Huyu alkuwa mwakilishi BBA. Alpochaguliwa tu akakamata fursa kwa kuingia studio na kutoa ngoma, akiamini kuwa BBA ndo kujua mziki. Honestly huyu dada hajui kitu ndo mana tangu atoe...
Tafadhali ingia www.miniclip.com. Hapa utakutana na games nyingi, lakini nzuri zaidi ni ile ya 8ball pool,. hapa utaweza kucheza live na mwenzio kutoka pande yoyote ya dunia mkiwa online. Its 24hr...
Last week end watsup nimepokea hii kitu #NewSong Jokate Ft Ice Prince "Leo Leo" nikaickiliza for sure cyo ngoma mbaya ila cyo typ ya mziki niupendao but the thing is huyu Jokate alikua Miss mara...
John Legend ni gwiji wa mziki toka USA ambaye ni mtunzi na mwimbaji mahiri wa nyimbo za blues.Ni moja kati ya wanamuziki wanaoweza kukufanya utabasamu kwa tungo zake mwanana zenye ujumbe na...
Niaje wadau hope mpo poa kitu cha week end ndo hichi hapa just chillin getto na kusikiliza ngoma kali kinomanoma for sure mim ni kati ya majamaa ninaoamini "without music life will be a mistake"...
Nimebishana na jamaa yangu jana mpaka tukafikia kugombana anang'ang'ania huu mchezo ni wa kweli 100%, amenifanya usiku huu nikeshe nikifuatilia huu mchezo kwenye net na moja kati ya evidence...
wadau Jumatano ndo mwisho wa SO1 ya empire binafsi nimeipenda sana hii kitu and offcourse ina Break The internet kwa sasa Tv seried flan yenye real life no imagination nyingi #Cookie na #Jamal...
Habari za week end wakuu?
Tafadhali Naomba kwa yeyote anaeweza kunitumia audio music compilation ya nyimbo za tenzi za rohoni,au link ambayo naweza download compilation ya nyimbo za tenzi za...
Habari hii inasikitisha
TEMBA PHOTO NA VIJIMAMBO INAMASIKITIKO MAKUBWA KUWAAMBIA ILE SHOW YA YAMOTO MEMORIAL WEEKEND HAITAKUWEPO
Temba Photo na Vijimambo Media & Entertainment...
Udumu ujamaa..
Hip Hop ni Utamaduni wenye nguzo zake, njia moja wapo ya uwasilishaji wa utamaduni huu ni muziki.. Muziki wa RAP japo wengi tunaujua kama muziki wa Hip Hop..
Utamaduni huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.