Swali naomba kujibiwa

Swali naomba kujibiwa

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,681
Kuna nyimbo ya hawa wasanii wa nigeria ya patoranking kamshirikisha tiwa savage kwenye hio nyimbo kuna sehemu wanaimba mistari ya nyimbo fulani hivi ya R&B ya zamani sana ya kizungu sasa naomba kujua hio nyimbo walio chukua hio mistari inaitwaje?
 
Back
Top Bottom