Darius Tanz
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 461
- 137
Nimepata bahati ya kusikiliza wimbo mpya wa msanii shetta lakini nimepata shida kuutofautisha na wimbo wa msanii toka nigeria anayefahamika kwa jina la runtown aliyemshirikisha davido unaoitwa gallardo sijui wenzangu mmeuonaje.