Bongo Movie and Nigerian Movie

Bongo Movie and Nigerian Movie

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
Wakuu hivi kuna tofauti gani kati ya Bongo Movie na Nigerian Movie? Au unawashaurije wasanii wetu, wafanye kitu gani ili movie ziwe za kimataifa zaidi, yaani ziuzike huko ulaya, Amerika hata bara Asia?

Wakuu karibuni hapa..
 
Wakuu hivi kuna tofauti gani kati ya bongo movie na nigerian movie? au unawashaurije wasanii wetu wafanye kitu gani hili movie ziwe za kimataifa zaidi yaani ziuzike uko ulaya,amerika ata bara asia. wakuu karibuni hapa

Wameshasaidiwa sana mbona na serikali yetu sikivu kupitia wizara husika, we huoni siku hizi kumejaa muvi za kihindi, kikorea zilizotafsiriwa na kina rufufu....na hawakuishia hapo tu, TBC kwa sasa wana tamthiliya ya kichina imetafsiriwa kiswahili...hawakuishia hapo tu, Star times wana chaannel inaitwa Swahili bollywood.

So wale tuliokuwa tunaboreka na bongo muvi tumeshapata mmbadala wake...au wewe ndugu huoni hata jinsi ambavyo soko la bongo muvi linavyopumulia mashine ? soon bongo muvi inaingia kaburini na kuzikwa rasmi...tutasimulia tu wanetu na wajukuu kuwa kulikuwepo kina Ray, JB, Aunty, Wema , Lulu n.k.
 
wameshasaidiwa sana mbona na serikali yetu sikivu kupitia wizara husika, we huoni siku hizi kumejaa muvi za kihindi, kikorea zilizotafsiriwa na kina rufufu....na hawakuishia hapo tu, tbc kwa sasa wana tamthiliya ya kichina imetafsiriwa kiswahili...hawakuishia hapo tu, star times wana chaannel inaitwa swahili bollywood.

So wale tuliokuwa tunaboreka na bongo muvi tumeshapata mmbadala wake...au wewe ndugu huoni hata jinsi ambavyo soko la bongo muvi linavyopumulia mashine ? Soon bongo muvi inaingia kaburini na kuzikwa rasmi...tutasimulia tu wanetu na wajukuu kuwa kulikuwepo kina ray, jb, aunty, wema , lulu n.k.

mkuu umeniacha hoi dah
 
Back
Top Bottom