clouds fm mnaboa enough is enough

clouds fm mnaboa enough is enough

IamMrLiverpool

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
4,794
Reaction score
7,210
Jamani hawa clouds wanaboa saaaaana wameanza tabia mbaya mno ya kutumia nyimbo za watu sijui wanawapa nn wanazipiga remix ili kuipa promo redio yao wanaboa sana hivi redio hii ina wanataaluma kweli au hua wanaokotana kama njugu maana kwa proffesional yyte huwezi kufanya upuuzi huu
 
Hata huwa sisikilizi hiyo radio ya wahuni!
 
Turn the dial...Clouds ain't the only radio station around.
 
Back
Top Bottom