Huyu ndo msanii ninayemkubali Bongo, we unamkubali nani?

Huyu ndo msanii ninayemkubali Bongo, we unamkubali nani?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,370


NIKUSAIDIAJE.

Umesahau ulipotoka hujui unapokwenda,
ukapata kiburi kuona mi nakupenda,
nilikutamini na letu penzi kulienzi,
na leo siamini kama umelisaliti mpenzi,
kumbuka nilikukuta kijijini sitimbi,
umebeba mahindi na furushi la magimbi,........
........................
 
Last edited by a moderator:


NIKUSAIDIAJE.

Umesahau ulipotoka hujui unapokwenda,
ukapata kiburi kuona mi nakupenda,
nilikutamini na letu penzi kulienzi,
na leo siamini kama umelisaliti mpenzi,
kumbuka nilikukuta kijijini sitimbi,
umebeba mahindi na furushi la magimbi,........
........................



Muda sasa umewadia ndugu zangu watanzania,
mambo niliyoyafanya hayapasi kusimulia.......
........
 
Last edited by a moderator:
mie namkubali Mr.II Sugu enzi zile kabla hajawa mzugaji wa siasa. Nalog off
nilimkumbali sana kwa wimbo wake''mikononi mwa polisi'''nalogin in.
 
Mi namkubali husninyo. Nikutajie jina langu la kisanii?
 
Kwa msanii, jay key yupo juu, kwa msaani wa bongo fleva, mfalme selemani, kwa mziki wa bongo fleva, gretest of all times ni mtoto wa geti kali by inspekta haruni...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom