Natafuta hii series ya kikorea

Natafuta hii series ya kikorea

mfocbsjut

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
479
Reaction score
257
Wanajukwaa natafuta series ya kikorea inaitwa Queen Seon Deok, ambaye anayo tafadhali. Kama itakuwa HD version itakuwa vizuri zaidi, napatikana dsm
 
Kuna thread imeanzishwa kwa ajili ya series za kikorea jaribu kuipitia utasaidiwa.Mie nilikuwa nayo nimeishaifuta
 
Upo wapi ?.... kuna mtu huwa anazidownload, anaziburn kisha anaziuza coz ana library. Kama upo dar naweza nkakupa namba yake uwasiliane nae
 
Back
Top Bottom