Nahitaji muandishi mahiri wa script +

Nahitaji muandishi mahiri wa script +

Jackmedia

Member
Joined
Apr 19, 2015
Posts
81
Reaction score
26
hellow!!
ombi ombi yule anaeweza kuandika script kwa kiwango cha kimataifa au cha ubora unaohitajika naomba aungane namimi katika uandikaji wa script za filam nne (kali) sina pesa ya kumlipa but fahari yetu tutaipata baada ya maandishi kuwa into real thing kwa kufanyakazi na makampuni mbalimbali mfn, endless fame,machomedia nk,
stories
#UGENINI vijana walioacha shule na kuamua kucheki mishe za pesa mkoa mwingine kuwakwepa wazazi.
#lOVE DOCTER kijana mdogo aliepewa kazi ya kumaliza kesi kubwa kwenye mahusiano na bibi yake (tamthilia).
#2 HOURS wasanii waliopata shoo nje ya nchi na kujikuta wakichelewa ndege kwa mikasa ya barabarani.
#ELEMENT mtu alievaa element ya pikipiki na kuonekana kukatisha maisha ya watu hasa wakiume tu, na nyingine nyingi mimi si mtaaramu wa script so anaeweza: ntamcheki na kumfuata alipo am very serious,,
 
Sorry, mimi naandika script za comedy za filamu sipo!Anyway, kwenye hiyo thread yako namba nne ni HELMET si ELEMENT.
 
Sorry, mimi naandika script za comedy za filamu sipo!Anyway, kwenye hiyo thread yako namba nne ni HELMET si ELEMENT.

ok! bilashaka unaweza kuandika flm pia mbona tofauti sio kubwa.
 
Back
Top Bottom