Instagrampartytz

Instagrampartytz

MwasotaJr

New Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
4
Reaction score
0
Siku zote jambo la msingi ni kupiga hatua,kubuni vitu tofauti na jana,Safari hii kutokana na maboresho ya msingi na kuzingatia mahitaji ya watu wengi.....tumeamua kuhamishia lile tukio kubwa la kidigitali kwenye Viwanja vya Posta pale Sayansi/k nyama. Ni fursa pia kwa wale wenye biashara mbalimbali kuungana nasi, ni fursa kwa wale waliokutana mitandaoni kuonana live,ni fursa pia kwa wale wapenzi na mashabiki wa Watu mashuhuri/maarufu kukutanishwa nao live ktk sehemu moja. INSTAGRAM PARTY mwaka huu ni #ZaidiYaKawaida
Follow instagrampartytz instagrampartytz instagrampartytz instagrampartytz
Kwa maelezo zaidi
 
Last edited by a moderator:
Mmemfanya nini Carlo mbona analalamika sana?
 
Back
Top Bottom